ALI KAMWE AMJIBU AHMED ALI, NAYE KAPOSTI PICHA ILE ILE TOFAUTI NI PICHA ZAO, KUNA NINI HAPA?

Wakati Mashabiki wa Simba wakiulizana kuna jambo gani tarehe 15 January saa nne usiku upande wa pili katika mitaa ya Twiga na Jangwani Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Yanga Ali Kamwe naye kaposti picha ile ile kama ya Ahmed Ali tofauti ni Picha zao tu, swali linakuja kuna tukio gani ambalo Yanga na Simba wanachuana kulitenda siku hiyo? Shabiki kama una jibu tiririka hapa kwenye komenti tujue pia.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post