BARAKA DA PRINCE AONYESHA SHAMBA LAKE LA MAHINDI ASEMA ANAOGOPA SANA UMASIKINI

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini Tanzania akiwa na makazi yake jijini Mwanza katupeleka shambani kwake leo na kusema kuwa kijana kukaa bila kufanya kazi hiyo ni ishara ya uvivu. Kasema kwa upande wake hakuna kitu anachokiogopa kama UMASIKINI na ndiyo maana kila kukicha anapambana sana kuhakikisha anaukwepa UMASIKINI. Unafikiri ni Wasanii wangapi wamejiwekeza kwenye miradi mbalimbali nje ya Boksi tofauti na Sanaa yao?
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post