DIAMOND PLATNUMZ AGHAIRI KUWA SINGLE ASEMA KICHAKA NI KILE KILE

Wakati wengi tukijiuliza ni kweli Diamond Platnumz ameachana na mpenzi wake Zuchu, hata siku haijamalizika amerudi tena mtandaoni na kupost ujumbe huu hapo juu akisema ameghairi kuwa single. Hii inadhihirisha kuwa huyu jamaa ni pumzi ya vyombo vyote vya habari nchini Tanzania kwani ndani ya muda mfupi stori zilikuwa ni juu yake na baada ya kusema hawezi kuwa single bado stori zinaendelea kuwa juu yake na mwisho wa siku anawaambia SHOW NI MOJA TUU ZANZIBAAAAAAAA
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post