FREDY MICHAEL AMNG'OA JEAN BALEKE SIMBA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast Fredy Michael amejiunga na timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam akitokea Green Eagle ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili. Mshambuliaji huyu mwenye magoli 14 na assist 4 akiwa kinara wa mabao kunako Ligi ya Zambia amekuja kumng'oa Jean Baleke ambaye hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba. Amekuwa akipishana na mipira ya wazi mingi sana inawezekana ikawa ndiyo sababu ya kuachana naye.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post