HII INAWEZEKANA KWA IDRIS SULTAN?

 


Baada ya Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania IDRIS SULTAN kupost picha yake kwenye mitandao ya kijamii akiwa kachana msamba juu ya pikipiki aina ya BOXER mbili Walimwengu wamemimina maneno yao huko wakisema hawezi kufanya hivyo kwa sababu wanamfahamu ni Bingwa wa Editing.

Hebu na wewe ipitie hii picha kisha toa maoni yako. 

Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post