MLANDEGE AMLA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR


 Timu ya soka ya Mlandege ya Visiwani Zanzibar imewashangaza mashabiki wa Simba kwa kuwatafuna bila kuwachinja kwa goli moja ambalo limewafanya kutwaa Ubingwa wa Kombe hilo la Mapinduzi na ikiwa ni mara ya pili mfululizo wakifanya hivyo mwaka jana.

Full Time: Mlandege 1 - 0 Simba

Goli likifungwa dakika ya 60' na mchezaji mwenye TAALUMA ya UHANDISI WA UMEME aitwaye Akandwanaho. 

Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post