MOSES PHIRI ATUA POWER DYNAMO YA ZAMBIA

Mchezaji wa Kimataifa wa wa Simba kutoka nchini Zambia wanayekwenda kuachana naye rasmi mwishoni wa msimu huu Moses Phiri tayari amejiunga na timu ya POWER DYNAMO kwa mkopo akitokea Simba. Mchezaji huyu aliyekuwa kipenzi cha mashabiki wa Simba kutokana na style yake ya kushangilia ameondoka huku mashabiki wa Simba wakiwa bado wana mashaka na maingizo mapya ambayo hawana uhakika kama yanakwenda kuwapa kile wanachokihitaji kwa wakati huu Kitaifa na Kimataifa.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post