PA OMAR JOBE ANATUA MSIMBAZI LEO

Mshambuliaji Raia wa Gambia anayekipiga nchini Khazakstan katika klabu ya FC Zhenis ameshamalizana na mabosi wa Simba na leo anakwenda kutambulishwa. Kwa usajili huu ukame wa mabao Unakwenda kuisha na bila BENCHIKHA atakuwa amefutwa jasho alilokuwa akilitoa katika kuumiza kichwa cha nani aingie na kumpa matokeo mazuri.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post