PAUL MAKONDA KUUNGURUMA MIKOA 20 TANZANIA AKIANZA NA DAR ES SALAAM

Katibu wa NEC, ITIKADI, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Paul Makonda kuunguruma katika mikoa 20 ya Tanzania katika kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya Chama hicho lakini pia atasikiliza na kutatua Kero za Wananchi.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post