UNATAKA KWENDA MACHIMBONI ZAMBIA LAKINI HUJUI NI WAPI PA KUANZIA?
bySultan Uwezo -
0
Kila mmoja ana ndoto zake bwana katika kufungua milango ya mafanikio, wengi wanaamini katika kuvuka mipaka na kutoka nje ya Tanzania. Na miongoni mwa nchi inayopokea Watanzania wengi ni nchi ya Zambia na hii ni kutokana na uwepo wa Machimbo ya Madini ya Dhahabu. Ambapo madini haya yanachimbwa kwa wingi katika Wilaya ya Mpika - Zambia. Hivyo basi sisi kama SULTAN UWEZO ONLINE tumekuandalia mambo ya Msingi ya kuzingatia kabla ya kuondoka kwenda za Zambia na baada ya kufika Zambia.
Zaidi Sikiliza hii AUDIO