YANGA NDANI YA AFCON, MALI NA AFRIKA YA KUSINI

Katika kikosi cha timu ya Taifa ya Mali inayocheza na Afrika ya Kusini goli liko salama chini ya mikono ya Diarra golikipa namba moja wa timu ya Yanga. Leo TV nyingi zitakuwa kwenye mateso makubwa ya kuangaliwa na mamilioni ya mashabiki wa soka wa klabu ya Yanga kutoka kila kona ya Dunia. Hivyo leo mashabiki wa Yanga watakuwa upande wa Yanga tu.
Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post