Download Audio | Kurasini SDA Choir – Nimefika Mwisho

 AUDIO Kurasini SDA Choir - Nimefika Mwisho MP3 DOWNLOAD

Welcome back, It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Nimefika Mwisho mp3 Download by Kurasini SDA Choir. Enjoy!

Nimefika Mwisho (I’ve come to the end), huu ni wimbo uliotungwa na kufundishwa na Mwl. Samson Kibaso siku chache kabla ya hali yake kubadilika kisha kufariki tahere 23 Juni 2020.

RELATED: Kurasini SDA Choir – Haja ya Moyo

Tunamkumbuka na tutamkumbuka siku zote kama kwaya ya Kurasini lakini hata kanisa kwa ujumla. Mwl.Kibaso alianza kuifundisha kwaya ya Kurasini tangu mwanzo, aliacha kazi rasmi kwa ajili ya kumtumikia Mungu hasa kwa njia ya uimbaji.

Utunzi wake na mashairi hayajawahi kufanana na utunzi/mashairi ya waalimu wengine, Hivyo nyimbo zake zilikuwa za kipekee sana. Neema ya Bwana iwe nasi tukiendelea kumtumikia hata mwisho wetu, kama Mwl. Samson Kibaso.

listen to “Kurasini SDA Choir – Nimefika Mwisho ” below

AUDIO Kurasini SDA Choir – Nimefika Mwisho MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Also, check more tracks from Zabron Singers;

Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post