UJUE UGONJWA WA BAWASILI NA TIBA YAKE

 


UJUE UGONJWA WA BAWASILI NA  MADHARA YAKE


Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba. Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.


*A. NINI KINASABABISHA BAWASIRI?*


Miongoni mwa visababishi vya bawasiri ni;

-Tatizo sugu la kuharisha

-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu

-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)

-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX)

-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.


*B. DALILI ZA BAWASIRI*


-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia

-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa

-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)

-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.

-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.

-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.


*C. ATHARI ZA BAWASIRI*


-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)

-STRAGULATED HEMORRHOID

-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.

-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.

-Kuathirika kisaikolojia

-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.

-Kupungukiwa nguvu za kiume.


Bawasiri inatibika kabisa bila ya kufanyiwa upasuaji. Kuna programme ya dozi ambazo ni tiba lishe mchanganyiko wa vyakula, mimea na madini inaondoa kabisa bawasiri kwa kutibu mpaka mzizi au chanzo cha bawasiri ili isijirudie tena tofauti na upasuaji au dawa za hospitali. Tumewasaidia wagonjwa wengi sana wenye hili tatizo. Ufafanuzi zaidi na kupata tiba njoo whatsapp 

📞255785617994

Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post