Washindi Wa Tuzo Za Muziki Tanzania – TMA 2024


Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni mojawapo ya hafla kubwa za kutambua na kusherehekea vipaji vya wasanii wa muziki nchini Tanzania. Tukio hili, lililoshirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), linaendelea kupata umaarufu mkubwa kwa kutoa jukwaa muhimu la kuwatambua wasanii waliotoa mchango mkubwa katika sekta ya burudani nchini.

Hafla ya kutangaza wa shindi wa tuzo za TMA 2024 imepangwa kufanyika Oktoba 19 2024, katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.

Hafla hii imejumlisha vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa, huku majina makubwa katika muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki yalitumbuiza. Miongoni mwa wasanii watakaopamba tukio hilo ni:

🔘Alikiba 

🔘Harmonize 

🔘Zuchu

 🔘Marioo

 🔘Nandy 

🔘Young Lunya

🔘Christian Bella 

🔘Mzee Yusuph 

🔘Yammi

Mbali na burudani kutoka kwa wasanii hawa, washindi wa tuzo hizo walitunikiwa tuzo maalum zilizo na muonekano wa Mlima Kilimanjaro kama ishara ya utukufu wa sanaa ya Tanzania.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa vipengele mbalimbali vya tuzo hizi:

BEST COMPOSER OF TAARAB MUSIC OF THE YEAR

  • Umenibamba – Father Mauji
  • Nkurukumbi – Bob Rama
  • Babu Juha – Kisaka
  • DSM Sweetheart – Thabit Abdul
  • Sina Wema – Mfalme Mzee Yusuph – WINNER

BEST EAST, WEST & SOUTH AFRICAN SONG

  • People – Libianca
  • American Love – Qing Madi
  • Lonely At The Top – Asake – WINNER
  • Unavailable – Davido Ft Musa Keys
  • Mnike – Tyler ICU

BEST MALE ARTIST

  • Marioo – Shisha
  • Shu! – Diamond Platnumz – WINNER
  • Single Again – Harmonize
  • Sumu – Ali Kiba
  • Nitasema – Jay Melody

BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR

  • Watu Na Viatu – Malkia Leyla Rashid
  • Honey – Zuchu
  • Blessing – Anjella
  • Milele – Abigail Chams
  • Nandy – Falling – WINNER

BEST SONG OF THE YEAR

  • Honey – Zuchu
  • Single Again – Harmonize – WINNER
  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz
  • Tajiri – Lava Lava
  • Shu! – Diamond Platnumz

BEST DANCE MUSIC SINGER OF THE YEAR

  • Kanivuruga – Christian Bella – WINNER
  • Hellena – Melody Mbassa
  • Jela Ya Mapenzi – Papii Kocha
  • Mmbeya – Charlz Baba
  • Popo – Sarah Masauti

BEST DANCE MUSIC SONG OF THE YEAR

  • Mmbeya – Twanga Pepeta
  • Tonge la Mwisho – Sikinde Original
  • Nyoka – Melody Mbassa
  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide – WINNER
  • Kanivuruga – Malaika Band

BEST MUSIC COMPOSER OF DANCE MUSIC OF THE YEAR

  • Master Keys
  • Dad One Touch
  • Erasto Machine
  • Christian Bella – WINNER

BEST SONGWRITER OF THE YEAR

  • Mbosso
  • Dulla Makabila
  • Thabit Abdul
  • Jay Melody
  • Marioo – WINNER

BEST BONGO FLAVA MUSIC PRODUCER

  • Ibrah Jacko
  • Aloneym
  • Trone
  • S2Kizzy – WINNER
  • MrLG

BEST BONGO FLAVA SONG OF THE YEAR

  • Yatapita – Diamond Platnumz
  • Baridi – Jay Melody
  • Honey – Zuchu
  • Mahaba – Alikiba – WINNER
  • Single Again – Harmonize

BEST FEMALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR

  • Nandy – Falling
  • Anjella – Blessing
  • Phina – Sisi Ni Wale
  • Appy – Watu Feki
  • Zuchu – Naringa – WINNER

BEST SINGELI ARTIST OF THE YEAR

  • Mtamu – D Voice
  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila – WINNER
  • Nikiachwa Kama Nimeacha – Mchina Mweusi
  • Danga Langu – Lamona
  • Nini Tena Hiki? – Dogo Elisha

BEST SINGELI SONG OF THE YEAR

  • Karibu Tanzania – Hemedi Kiduku
  • Mr Dj – Dogo Elisha
  • Nikiacha Kama Nimeachwa – Mchina Mweusi
  • Kitu Kizito – Rayvanny ft. Misso Misondo – WINNER
  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila

BEST DJ OF THE YEAR (DJ BORA WA MWAKA)

  • DJ D Ommy
  • DJ Mamie
  • DJ Ally B  WINNER
  • DJ Shana Mnyamwezi
  • DJ Seven Worldwide

BEST FEMALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Phina – Do Salale
  • Lolo Da Princess – Performance Turn Up To New Year 2023
  • Zuchu – Nani Remix – WINNER
  • Abigail Chams – Milele

BEST MALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Mbosso – Sele
  • Christian Bella – Tamu
  • Harmonize – Single Again
  • Alikiba – Sumu
  • Diamond Platnumz – Shu! – WINNER

BEST MUSIC PRODUCER OF THE YEAR

  • S2Kizzy – WINNER
  • MrLG
  • Lizer
  • Thabit Abdul
  • Trone

BEST ALBUM OF THE YEAR

  • 5 – Abigail Chams
  • Swahili Kid – D Voice
  • Most People Want This – Navy Kenzo
  • Visit Bongo – Harmonize – WINNER
  • Flowers III – Rayvanny

BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR

  • Lalala – Xouh
  • Gibela – Chino Kidd – WINNER
  • Watu Feki – Appy
  • Mi Nawe – Mocco Genius
  • Namchukia – Yammi

BEST HIP-HOP SONG OF THE YEAR

  • Uongo – Rapcha
  • Current Situation – Country Wizzy – WINNER
  • Stupid – Young Lunya
  • Machozi – Stamina ft. Bushoke
  • Bobea – Joh Makini

HIP HOP ARTIST OF THE YEAR

  • Stupid – Young Lunya – WINNER
  • Dunga Mawe – Kontawa
  • Machozi – Stamina
  • Bobea – Joh Makini
  • Mama Omollo – Rosa Ree

BEST COLLABORATION SONG OF THE YEAR

  • Sumu – Alikiba ft. Marioo
  • Sele – Mbosso ft. Chley
  • Nani? – Abigail Chams ft. Marioo
  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz – WINNER
  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide

 


Sultan Uwezo

In our hands you will find out Songs and Videos of Various Artists without forgetting News from Newspapers. Here you will also find Employment's Information from the Government and the Private Sectors.

Post a Comment

Previous Post Next Post