Mtumishi wa Mungu maarufu nchini Tanzania PROPHET CLEAR MALISA amesema kuna mambo makubwa matatu ameyaona yanakwenda kutokea mwaka mpya wa 2025. Nayo ni haya yafuatayo:-
- DUNIA KUKOSA HUDUMA YA INTERNET
- GONJWA LA UKIMWI KUPATA TIBA
- KUIBUKA KWA GONJWA JIPYA LISILO NA TIBA LIKIWA MBADALA WA UKIMWI
Lakini pia amekwenda mbali sana na kuongeza kuwa kutakuwa na vilio vingi kwa Waafrika ambao wamehifadhi fedha zao kwenye Mabenki ya zamani ambayo yanakutana na HACKERS ambao wanafanya uhalifu huo kwa kuhamisha fedha hizo kwenye Mabenki hayo na kuacha simanzi.
Ni vyema watu kuanza kujiandaa kwa hili janga linalokuja 2025.
Tags:
Makala